Nafasi za kazi Kutoka Jeshi la Polisi Tanzania - March 2025

 2
Nafasi za kazi Kutoka Jeshi la Polisi Tanzania - March 2025

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI JESHI LA POLISI TANZANIA


TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne wenye sifa zifuatazo: -

1.        Sifa za Muombaji

a)     Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.

b)     Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.

c)     Awe amehitimu kidato cha nne au sita kuanzia mwaka 2019 hadi 2024.

d)     Kwa waombaji wa kidato cha nne na sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.

e)     Kwa waombaji wa kidato cha nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Points) 26 hadi 28.

f)       Kwa waombaji wa kidato cha sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I – III)

g)     Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30.

h)     Awe na urefu usiopungua futi tano na inchi nane (5’8”) kwa wanaume, na futi tano inchi nne (5’4”) kwa wanawake.

i)        Awe na kitambulisho cha taifa au namba ya utambulisho kutoka mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA).

j)        Awe na uwezo wa kuongea lugha ya Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha.

k)     Awe na afya njema kimwili na kiakili iliyothibitishwa na daktari wa Serikali.

l)        Awe hajaoa/kuolewa au kuwa na mtoto/watoto.

m)  Awe hajawahi kutumia dawa za kulevya za aina yoyote.

n)     Awe tayari kuhudhuria mafunzo ya awali ya taaluma ya Polisi.

o)     Awe hajaajiriwa au hajawahi kuajiriwa na taasisi nyingine ya Serikali.

p)     Awe tayari kufanya kazi za Polisi mahali popote Tanzania.

q)     Awe tayari kujigharamia katika hatua zote za usaili endapo ataitwa kwenye usaili.

r)       Asiwe na alama za kuchorwa mwilini (tattoo).

s)     Asiwe na kumbukumbu za uhalifu.

t)       Kwa waombaji wenye elimu ya kiwango cha Shahada (NTA level 8), Stashahada (NTA level 6) na Astashahada (NTA Level 5 au NVA Level 3) wanatakiwa wawe na fani zilizoainishwa kwenye tangazo hili.

 

2.     Utaratibu wa kutuma Maombi

1.     Waombaji wote wanatakiwa waandike barua za maombi wao wenyewe kwa mkono (Handwriting) bila kusahau namba za simu na watumie anuani ya Mkuu wa Jeshi la Polisi S.L.P 961 DODOMA. Barua hiyo iambatishwe kwenye maombi ikiwa kwenye mfumo wa ‘pdf’.

 

2.     Waombaji wote wafanye maombi yao kupitia kwenye mfumo wa Ajira wa Polisi  (TANZANIA  POLICE  FORCE    RECRUITMENT  PORTAL)

unaopatikana kwenye kiunganishi (link) cha tovuti ya Jeshi la Polisi (https://ajira.tpf.go.tz). Maombi yatakayowasilishwa kwa njia ya posta, barua pepe (email) au kwa mkono hayatapokelewa.

3.     Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 04/04/2025.

FANI ZINAZOTAKIWA KWA KILA NGAZI YA ELIMU (TANZANIA BARA)

 

NA.

SHAHADA

1

ANESTHESIA

2

ANIMAL SCIENCE

3

ANTHROPOLOGY

4

ARCHITECTURE

5

AUTOMOBILE ENGINEERING

6

BIOLOGY

7

BIOMEDICAL ENGINEERING

8

BIOTECHNOLOGY AND LABORATORY SCIENCE

9

BOTANY

10

CIVIL ENGINEERING

11

COMPUTER ENGINEERING

12

COMPUTER INFORMATION SYSTEM

13

COMPUTER NETWORK AND SECURITY ENGINEERING

14

COMPUTER SCIENCE

15

CYBER CRIME AND CYBER SECURITY

16

CYBER FORENSIC AND CYBER SECURITY

17

DATABASE ADMINISTRATION

18

ELECTRICAL ENGINEERING

19

FILM AND VIDEO PRODUCTION

20

FRENCH, PORTUGUES, CHINESE AND ARABIC

21

GENERAL AGRICULTURE

22

GYNECOLOGY

23

JOURNALISM AND MASS COMMUNICATION

24

LAND MANAGEMENT AND EVALUATION

25

LAW ENFORCEMENT

26

MARINE ENGINEERING

27

MARINE TRANSPORTATION AND NAUTICAL SCIENCE

28

MECHANICAL ENGINEERING

29

MEDICAL DOCTOR

30

MEDICAL LABORATORY

31

MULTIMEDIA CONTENT

32

NETWORK ENGINEERING

33

NURSING

34

PAEDIATRICIAN

35

PHARMACY

36

PHYSIOTHERAPY

37

PSYCHIATRIC NURSE

 

 

38

QUANTITY SURVEYOR

39

RADIOLOGY

40

RANGE MANAGEMENT

41

REAL ESTATE

42

RECORDS AND ARCHIEVE MANAGEMENT

43

SHIPPING AND LOGISTICS MANAGEMENT

44

SIGN LANGUAGE/SPECIAL NEEDS

45

SOFTWARE ENGINEERING

46

STATISTICS

47

SYSTEM DEVELOPMENT

48

TAX MANAGEMENT

49

TELECOMMUNICATION AND ELECTRONICS ENGINEERING

50

TRANSLATION AND INTERPRETATION

51

VETERINARY MEDICINE

STASHAHADA

1

ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION

2

AUTO ELECTRICAL ENGINEERING

3

CARTOGRAPHY

4

CLINICAL DENTISTRY

5

CLINICAL MEDICINE

6

FORENSIC SCIENCE

7

GRAPHIC DESIGN, MULTIMEDIA AND ANIMATION

8

INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY

9

MASTERFISHERMAN

10

MUSIC

11

NURSING AND MIDWIFERY

12

OPTOMETRIST

13

PERFORMING AND VISUAL ARTS

14

RADAR OPERATION

15

SOUND ENGINEERING

16

WILDLIFE MANAGEMENT

ASTASHAHADA

1

AIR CONDITIONING AND REFREGERATION

2

ALUMINUM AND GLASS WORKING

3

AUTOBODY REPAIR

4

AVIATION QUALITY MANAGER

5

AVIATION SAFETY MANAGER

6

BOAT PAINTING

7

BOAT SKIPPERS FOR AUTOBODY ENGINEERING

8

CAR INTERIOR DESIGN

9

CAR PAINT TECHNICIAN

10

CARPENTRY AND JOINERY

 

 

11

CLEARING AND FORWARDING

12

DIVINITY

13

DRONE OPERATION

14

ELECTRICAL INSTALLATION

15

EXCAVATOR OPERATION

16

FILM PRODUCTION

17

FITTER AND TURNER

18

FORENSIC SCIENCE

19

HYDRAULIC AND PNEUMATIC MECHANICS

20

INDUSTRIAL ELECTRICAL ENGINEERING

21

ISLAMIC KNOWLEDGE

22

JUDO, KARATE, BOXING AND TAEKWONDO

23

LABORATORY TECHNICIAN

24

MANDATORY COURSES

25

MARINE ELECTRICAL ENGINEERING

26

MASON AND BRICK LAYING

27

MEDICAL RECORDS

28

MOTOR CYCLE MECHANICS

29

MOTOR REWINDING

30

MOTOR VEHICLE MECHANICS

31

OFFSET PRINTING

32

PAINTINGS AND SIGN WRITING

33

PERFORMING AND VISUAL ARTS

34

PLUMBING AND PIPE FITTINGS

35

PRINTING MACHINE OPERATION

36

RADIO/ELECTRONICS AND COMMUNICATION TECHNOLOGY

37

RATING PART ENGINEERING

38

RATING PART NAVIGATION

39

SCUBA DIVING

40

SEWING MACHINE MAINTAINANCE

41

TAILORING

42

TRUCK AND HEAVY DUTY MECHANICS

43

VETERINARY LABORATORY

44

WELDING AND FABRICATIONS

 

FANI ZINAZOTAKIWA KWA KILA NGAZI YA ELIMU (ZANZIBAR)

 

NA.

SHAHADA

1

ACCOUNTING AND FINANCE

2

CIVIL ENGINEERING

3

COMPUTER SCIENCE

4

ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION

5

GEOGRAPHY AND ENVIRONMENTAL STUDIES

6

INSURANCE AND RISK MANAGEMENT

7

JOURNALISM AND BROADCASTING

8

LAW/LAW ENFORCEMENT

9

MEDICAL DOCTOR

10

MEDICAL LABORATORY

11

MULTIMEDIA TECHNOLOGY

12

NURSE

13

PHARMACY

14

PROCUMENT AND SUPPLY MANAGEMENT

15

PSYCHIATRIST

16

RADIOLOGY

STASHAHADA

1

ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION

2

CIVIL ENGINEERING

3

CLINICAL MEDICINE

4

COMPUTER SCIENCE

5

COUNSELLING AND PSYCHOLOGY

6

ELECTRICAL ENGINEERING

7

ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION

8

HOSPITALITY AND TOURISM MANAGEMENT

9

HUMAN RESOURCE MANAGEMENT

10

INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY

11

MECHANICAL ENGINEERING

12

MEDICAL LABORATORY

13

NURSING AND MIDWIFERY

14

PHARMACEUTICAL SCIENCE

15

PHYSIOTHERAPY

16

RECORD AND ARCHIEVES MANAGEMENT

17

SCIENCE WITH EDUCATION

18

SIGN LANGUAGE

 

ASTASHAHADA

1

CARPENTRY AND JOINERY

2

DRIVING

3

ELECTRICAL INSTALLATION

4

HOTEL MANAGEMENT

5

HOUSE KEEPING

6

MASON AND BRICK LAYING

7

PLUMBING AND PIPE FITTINGS

8

TAILORING